Natafuta Fundi anaefanya deco wall ya concrete stamping

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,289
1,796
wadau salaam ziwafikie huko mliko

jaman nahitaj fund mzur wa
wa ujenz ambaye anaefanya deco wall.. hasa nahitaj concrete wall stamping na floor stamping..
anaeweza ani PM ama kama kuna mtu anamfaham huyo fund aniunganishe nae

ImageUploadedByJamiiForums1455633452.522232.jpg

concrete stamping ndio kama kwenye hizo pic juu
 
wadau salaam ziwafikie huko mliko

jaman nahitaj fund mzur wa
wa ujenz ambaye anaefanya deco wall.. hasa nahitaj concrete wall stamping na floor stamping..
anaeweza ani PM ama kama kuna mtu anamfaham huyo fund aniunganishe nae

View attachment 323575

concrete stamping ndio kama kwenye hizo pic

picha nyingine inayoonyesha stamped wall

ImageUploadedByJamiiForums1455633842.968516.jpg
 
Back
Top Bottom