Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa Wakazi wa Dar karibuni Mabibo Relini tumewaletea mchele pure/wa asili kutoka Kyela, yani ule mchele ukiuweka nje hadi nzi wanaufuata, (sio ile ya kuchanganya) Bei ni Tsh 2500 kwa kilo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Spec Intel Core i5 Processor 2.6 ghz With turbo boost up to 3.2 ghz Ram 4gb Hard disk 320 Battery 2:30 hrs Price 530000/= tsh.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa hudumua nzuri na ya uhakika ya bima ya gari lako na nyumba UAP ipo kwa ajili yako kukuhudumia kwa wakaza wa dsm tuna ofisi yetu ya mauzo iko tegeta kwa ndevu wasiliana nasi kwa huduma bora na...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 3,000 kinauzwa Boko basihaya. kina hati ambayo utapewa copy kwenda kuhakikisha matumizi ya eneo wizarani. kiko barabarani na kinafaa kwa filling station au...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Godown linapangishwa chang'ombe mbozi road. ukubwa wake ni 440sqm. bei ni $7 per SQM per month. mawasiliano piga 0755 092 734 kwa maelezo zaidi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi,Natafuta shamba la kukodi la eka 20 kwa ajili ya kilimo cha ufuta kwa msimu unao anza yaani mwezi wa 11,12,1 au 2 kulingana na majira husika. Mimi napatikana Dar nipo tayari...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Napangisha Nyumba, ni yangu mwenyewe, IPO mbezi ya kimara,kilometer 1.2 toka barabara Kuu ya morogoro, INA Nyumba vitatu vya kulala,one master bed rm,library,public toilet mbili moja IPO nje...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza inaitajika used howo truck kwa aliyonayo lets mit PM
0 Reactions
0 Replies
706 Views
nauza till ya mpesa bei maelewano. nipo Mwanza mawasiliano:0752530592
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta bajaji ya kununus TVS iwe katika hali nzuri
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Natafuta mtungi gesi kubwa used kwa bei chee hapa dsm liwe la mihang au orxy. Kama unalo nipm na bei yake tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Nnayo million saba natafuta gari kati ya hizi...rav 4 milango mitano,brevis,raum,alteza....iwe angalau namba c...asanteni kwa ushirikiano.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu..kama nilivyoeleza hapo juu tunatoa huduma za usafi majumbani kama nyumba ni mpya na unataka kuhamia au hata nyumba unayoishi tunafanya deep cleaning,kufua,kupanga na decoration...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jaman nani aniuzie kile kilaptop kidogo
0 Reactions
0 Replies
475 Views
Hawa ndio mabingwa wa kuchimba visima kwa bei rahisi saana. Karibu na wewe tukuhudumie
0 Reactions
4 Replies
817 Views
Habari gani Wakuu? Eneo la Barabarani kwenye lami Linauzwa Kigamboni Mwembe Mdogo Kigamboni. Ukubwa wake ni heka 2 na liko km 2 kutoka mradi wa apartments za NSSF Dege na Km 6 kutoka baharini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wadau, Naishi Mwanza (Nyamagana) Bugarika. Nimepata uhamisho wa kikazi kwenda mkoa mwingine. Naona kero kusafiri na vitu. Nimeamua kuuza vitu vifuatavyo: 1. Dish la futi 6 (euro star) na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Niko na riport ya surveyor wa DCA nimepima eneo langu maji yapo,proposed ni 100m,nataka mtu atakayenichimbia kisima na kufanya shughuli zote zinazoambatana na kisima kasoro kufunga pump tu kwakuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, natafta watu wa kufanya nao biashara ya bidhaa za urembo hususani wa ngozi na nywele, nahitaji watu waliopo mikoa ya mbeya, mwanza, tanga, kahama na kagera.. Nahitaj mtu alietayari awe ni...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
Natafuta Bajaji Aina ya TVS used, iwe kwenye hali nzuri Ofa kuanzia M3.5 mpaka M4 kulingana na ubora, tafadhali naomba iwe kwenye hali nzuri nipo Dar es Salaam, kama unayo nichek kwa 0713415537
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom