Biashara ya kuziba pancha

Mtoto Tajiri

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
300
172
Kuna mtu humu ana deal na hiyi biashara ya kujaza upepo na kuziba pancha?Shida yangu ni kujua bei ya ile mashine ya ku press tairi na compressa kubwa na mchanganuo kidogo wa biashara husika,Natanguliza shukrani
 
Kama uko Dar nenda BN Company, Sam Nujoma rd, kabla hujafika Coca ukitokea Mwenge utapata mashine, compressors za ujazo tofauti, ushauri na bei
 
Mtoto Tajiri unataka kufanya biashara ya kuziba pancha sasa sisi watoto wa makabwela tukimbilie wapi?
 
Japo sijauliza mimi lakini nimeyapenda maelezo yako. Kwa ufupi, unaijali shida ya mwenzio!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom