Valentina Martine
New Member
- Feb 15, 2016
- 1
- 0
Mimi natafuta Jiko lenye oven kwa matumizi ya nyumbani linalotumia Gasi na umeme liwe na plate 4 na mashine ya kufuria tafadhari msaada
Ha ha ha huyo jamaa jangaaHilo litakuwa jiko tena manake liwe na mashine ya kufuria