Mashine ya kupigia tofali inauzwa

GREGO

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
4,279
2,913
Mashine ya kupigia tofali na vibao vyake viko 500 inauzwa, inatoa tofali moja la 5.5", iko Dar, ilitengenezwa December, 2015 na TDTC pale UDSM, iko imara sana.

Kwa bei ni 900,000 (Maelewano yapo) niPM tufanye biashara......
 
Bei ni siri, tujifunze kufanya biashara weka bei hapahapa atakayeridhika ndy aje pm
 
Weka bei Mkuu, hizo Biashara za kuficha bei walikua wanafanyaga wale wakongwe wa JF Miaka ya 2006 huko..!!
 
Back
Top Bottom