Nahitaji screen ya desktop inch 19 haraka

Rogart Ngaillo

JF-Expert Member
Apr 27, 2013
908
1,911
Kioo cha computer yangu kimepata ufa, Nahitaji mwenye uwezo wa kunitaftia kioo pekee (Display) LCD-Flat Screen 19 Inches, ANIPIGIE SIMU TUONGEE BIASHARA: 0652416300
KAZI ZIMESIMAMA: Natumia monitor aina hii:- ViewSonic VG91ob LCD MONITOR
(Screen yoyote itakayofit nitaichukua)
 
ninayo siemens fujitsu nch 19 offer yako sh ngap??
Ahsante BRO, Nitakuchek kesho...
 
Kioo cha computer yangu kimepata ufa, Nahitaji mwenye uwezo wa kunitaftia kioo pekee (Display) LCD-Flat Screen 19 Inches, ANIPIGIE SIMU TUONGEE BIASHARA: 0652416300
KAZI ZIMESIMAMA: Natumia monitor aina hii:- ViewSonic VG91ob LCD MONITOR
(Screen yoyote itakayofit nitaichukua)
uko pande zipo.. kama upo dar njoo kwenye ofisi yangu kariakoo, karume ninazo screen size zote, unaweza kunichek kwa 0784234391
 
Ahsante bro,japo nilishaipata nyingine ila ile iliyopasuka sijapata spare yake....Nahitaji kioo tu pasipo housing!
Nijuze bei halisi kwa sms nitume mtu hapo!
 
Back
Top Bottom