Nina Tsh. 700,000/= Nahitaji LED Tv 40"

Nina Tsh. 700,000/= Nahitaji LED Tv 40"

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
8,246
Reaction score
12,789
Wanajamvi offer yangu ndiyo hiyo, nahitaji TV flat screen LED brands kama Sumsung, LG au Sony na si vinginevyo. Vizuri muuzaji ukiwa Dar.
 
800000 nakupa samsung 40,series 5,model 5003 inawiki 3 nasafr kwnd nje ndo reason ya kuuza,pungufu ya io usinipm
 
KIJONGA kamata 735,000, usicheke 35,000 hiyo nimekopa kutoka kwenye bajet ya bia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom