N dugu wana JF, nawasalimu nyote. Nipo kny hili jamvi kwa muda na nimejifunza mengi, leo kwa mara ya kwanza nimepata ziada ya kipato na nina Tsh.Milioni 6 na ningependa kuifanyia hii pesa kitu...
Habari wakuu,
Ninaomba mwenye ufahamu wa walipo agents (Maduka) wa kuuza simu za Tecno hapa Dar anijulishe.Pia ningependa kujua bei ya Phantom Z na Phantom 5 mpya ikoje (Jumla na rejareja)...
Meneja Masoko wa shirika la DKT International Tanzania Bw. Davis Kambi (Katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na washindi wa bahati nasibu iliyochezeshwa na shirika hilo wakati wa uzinduzi wa...
Habari ya wanajamvi na wasomaji wote kwa ujumla.
Nilikua na browse youtube jana na nikakutana na kitu ambacho kilikua very interesting kwenye macho yangu. Lilikua tangazo la sim Samsung Galaxy S5...
Habari ya wanajamvi na wasomaji wote kwa ujumla.
Nilikua na browse youtube jana na nikakutana na kitu ambacho kilikua very interesting kwenye macho yangu. Lilikua tangazo la sim Samsung Galaxy S5...
Habar niona watu wengi mnalalamikia mb8 mimi na laini za University ofa za VODA, TIGO, NA HALOTEL ambazo utajiunga mahali popote, voda kwa week utapata dkk150, sms unlimited na 1Gb per week, hivyo...
Hello, kwa yeyote mwenye uhitaji Wa kuandikiwa andiko lolote la mradi, biashara, mkakati Fulani, pendekezo la matumizi ya rasilimali Fulani nk; Natoa Ofa ya gharama za uandishi tena na kwa mda...
Habari zenu wana JF,
Nauza kitanda cha tiba joto cha nuga best ambacho ni toleo la kisasa kabisa.
Kitanda hiki ni kipya kabisa na kimetengenezwa kwa madini Tourmanium ambayo hutoa tiba joto kwa...
Nataka laptop dell
iwe inakaa na chaji zaidi ya masaa 3
ram at least 1gb
hdd at least 250 gb
cd and dvd rom-working
keyboard iwe nzima
usb-working
kama ipo ni pm na picha yake
Bei 8.6 mln
Rangi ya silver
Namba c
Gari iko vizuri Sana kuanzia engine na bbody....picha zinasumbua Ku upload humu jf..kwa mtakaji serious ni inbox nnamba yako niku whatsap...na kwa mawasiliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.