Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

ni mtumba kutoka nje ni inch 19 ina DVD room HDMI na VGA port pia ina iPod dock bei ni 200k pia naweza exchange na simu, laptop ,tablet nicheki 0718097972 kwa maelezo zaidi na picha whatsapp hapa...
0 Reactions
3 Replies
958 Views
WanaJF naomba kujulishwa wapi kwa Dar nawezapata fito za dish la ft 8 la bati(sio la wavu). Aidha, nijue na bei yake.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nahitaji tv. arusha au moshi we nchi 21 chogo au flat nipm au zaidi
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Mwenye sabufa anaeuza, ongea bei na weka picha tufanye biashara, kwa waliopo dar tu. Bei isizidi elfu 60.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eneo la ekari 8 lenye Hati lililopo Mwavi kwenye kona ya barabara kubwa ya Lami ya Bagamoyo Msataa na Mkenge road kabla hujafika kiwangwa 18kms from Bagamoyo mjini. Linafaa kwa Makazi, Petrol...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza printer ya kuprint picha hapohapo kwa bei nafuu sana ni used imetoka uingereza. bei ni sh laki moja tu.. tazama picha hapo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nauza video camera samsung kwa bei nafuu sana used toka uingereza bei sh 300000 mpaka 280000 kwa mawasiliano 0713871199
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ladyellymovingshop.
0 Reactions
0 Replies
439 Views
Pata simu kwa bei poa kabisa Samsung Galaxy S3-350k S4-395k S5-496k S6-1.24m S6 edge - 1.55m S6 edge plus - 1.78m Samsung Galaxy Note 1-292k Note 2-393k Note 3-532k Note 4-750k Note...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta kioo cha sony experia Z ofa yangu na Tsh 100000
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari zenu waungwana,mie ni fundi wa umeme wa majumbani,nashughulika na maswala ya -Nafaya wiring ya umeme katika nyumba ndogo mpaka ghorofa -Narekebisha hitilafu/shoti za kiumeme katika nyumba...
0 Reactions
1 Replies
855 Views
Dell Laptop: Core i3 / 500 GB / 4 RAM / DDR 3 / 15.6" / Windows 8.1). Bei Tshs laki 4. Software installed: Microsoft Office 10 / Adobe Creative Suite CS6 / Xampp, Filezilla & WordPress Kwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kiwanja kimepimwa kina hatimiliki, kina nyumba imejengwa imeishia kwenye lenta (1master&2single,sitting room dinning, public toilet) kiwanja kipo mita 600 kutoka barabara ya lami na kipo kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja hiki kipo eneo la wazo hill katika wilaya ya k'ndoni, Dar Es Salaam Kiwanja Kipo Tambalale Pia Tayari Kina Nyumba Ya Kuishi Ya Vyumba 3 Na Sebure, Kipo Karibu Na Barabara Ya Kwenda Madale...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Je unamiliki duka la jumla na hata rejareja? Unapata shida ya kufanya stock? Hujui kama unapata Loss au Faida kwa siku,Wiki Mwezi na hata Mwaka? Una duka moja au zaidi na yote unataka kupata...
0 Reactions
0 Replies
659 Views
Nakaribia kumaliza masomo yangu sasa na nina wazo la kufuga kuku wa Mayai hapa Dar es Salaam Mtaji wangu ni millioni 1 natafuta eneo na kuku wa kuanzia!! Naomba ushauri na Maelekezo Ushauri...
0 Reactions
3 Replies
776 Views
Wakuu nina maeneo ninamiliki mlandizi pwani nahitaji kuyasafisha nianze kuyatumia, lakini yana miti ya magogo ya mkaa mengi sana ikiwa utafanikiwa kuyatengeneza mkaa unaweza kuvuna gunia sio chini...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
DSM PLUMBER TECHNICIANS: :Shughuli zetu: 1:Kuuza Mabomba n Fittings zake 2:Kitchen Sink 3: Sanitary items Simtank 4: Bath tubs 5: Shawer Tray Ceramic Fibre 6: Bath Mixers nk MAFUNDI...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Nyumba hii Inauzwa Iko mbagara Chamanzi Saku. Ina 3bedroom,sitting room,dinning room,kitchen,store. Bei ni 100 millions, pia bei inapungua. Tuwasiliane kupitia 0659 91 9292
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naombeni mwenye kufahamu soko la mchele miji ya Dar na Mtwara wadau
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Back
Top Bottom