Nahitaji friji ya milango miwili kwa 150,000

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,565
1,911
Nahitaji friji milango 2, nna 150000 mwez huu nakupa lak moja mwisho wa mwez namalzia,nna shida nayo kwa biashara nipo dsm 0624078253
 
Kaka hiyo hela fanya kama unaongesa sifuri kwa mbele basiii..huoni watu wanavokushangaa.
 
Nahitaji friji milango 2, nna 150000 mwez huu nakupa lak moja mwisho wa mwez namalzia,nna shida nayo kwa biashara nipo dsm 0624078253
Nahitaji friji milango 2, nna 150000 mwez huu nakupa lak moja mwisho wa mwez namalzia,nna shida nayo kwa biashara nipo dsm 0624078253
ipo friza used laki 2 unaweza tanguliza laki na nusu
0777906732
 
Acheni Dharau kwan cha ajabu nini hapo? Mbona watu wakikabwa na shida au akitaka kubadirisha huwa wanauza vitu kwa bei ya kutupa, au ndo kusema Jf wote hamtumii mtumba? Achen kujifanya mna maisha standard sana
 
ndo maana watz hatuendelei wengi n watu wa kudharau watu kimuonekano na vpato vyao ukzngatia ukute hawa wanaokejeli humu ni kula kulala bado wanaishi kwa wazazi kutwa nzma kuzunguka na bahasha kutafuta kazi kwa naul za kuombaomba,kwa taarifa nna elimu ya kutosha nna miradi mi4 inayonpatia kpato mara 3 ya mshahara wng kwa mwez sababu za kuweka bei hiyo n kwasababu nna uzoefu na biashara za humu sjakurupuka NB: MTU MWENYE HEKIMA NA BUSARA HUYAONAPO MABAYA HUJFICHA LAKN MTU YULE MPUMBAVU ASIYE NA AKILI HUENDELEA MBELE AKAUMIA.
 
Back
Top Bottom