alsam JF-Expert Member Jun 16, 2016 213 268 Jun 30, 2016 #1 Nahitaji Mafriji Naomba kujuzwa jinsi ya kupata mafriji ya cocacola na Pepsi Shukrani
popo1986 JF-Expert Member Jul 30, 2014 1,120 372 Jul 1, 2016 #2 Ni vizuri ukawaona Area sales manager labda Pepsi lakini coca cola utasuburi sana
Governor of Bettors-GB JF-Expert Member Jul 14, 2013 10,476 9,601 Jul 2, 2016 #3 Nenda kwenye Bohari zao watakupa ushauri mzuri,hakuna longolongo