Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta kiwanja cha kununua singida mjini kikiwa na hati itafaa zaidi. Kiwe sehemu nzuri.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana JF Natahitaji kununua Generator ya Caterpillar yenye uwezo kuanzia 5KV na kuendelea, iwe mpya au yeyote anayefahamu inapatikana wapi naomba anifahamishe. Nawasilisha.
0 Reactions
17 Replies
1K Views
JMK ROYAL SERVICES Agent of Building Materials tunakuletea tiles za TwyFord(better tile,better life) Tiles za kila aina zote(za ukutani,chini,jikoni,bafuni,na ukuta wa nje ya nyumba) upendazo kwa...
1 Reactions
6 Replies
9K Views
Vifaa vya Toshiba vinauzwa kwa bei rahisi kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa namba 0687957579.
1 Reactions
1 Replies
681 Views
Habari, Nahitaji kununua phamacy au duka la dawa muhimu hapo Kasulu Kigoma lengo likiwa ni kujikita ktk biashara hiyo au mwenye frame kubwa anayeweza kunipangisha kwaajili ya phamacy
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji huduma ya mtu yoyote mwenye uwezo wa kutengeneza FAKE GRASS na iwe inaruhusu maji kupita kwa chini. DImension can be 20 * 30 or 20 * 40...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Habari Wanajamii, Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nahitaji huduma husika hapo juu na ntashukuru kama ukinitajia na gharama ya kutengeneza. Tiles ni 2 na ziwe na image tofauti. Joel
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Suzuki swift ya mwaka 2004, plate namba C, uko vizuri, vimebali vyote vimekamilika, haidaiwi. ukiitaka piga namba 0716921757
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina sahuku ya kumiliki tractor tajwa hapo juu.Naomba mwenye details na bei anisaidie.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Bati aina zote rangi upandayo,kofia,na misumali.kwa bei ya kiwandani.okoa garama,jenga kwa kununua bati kiwandani. It 4&it5(migongo mikubwa) gauge30 @7500 kwa meter It 4&it5(migongo...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Kuna clinic moja nilishawah kusikia inaitwa Herbal Clinic inatibu magonjwa sugu ikiwemo na fangasi. Kama kuna mtu anajua ilipo hapa Dodoma anisaidie ili nikatibiwe, hata mwenye namba zao za simu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndoto ni njia mojawapo ya Mungu kuzungumza na watu wake kwa lengo la kuonya, kufundisha, kukuonesha hatari iliyopo mbele yako au hata kukuonesha utakuwa nani baadaye! Tunaona katika Mwanzo 20:3...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Nauza Toyata IPSUM PICNIC Haijatembea kilomita Nying sana Bei 9.5 Maelewano yapo ipo Dodoma 0765 860 437 NOTE Gari haina cha Udalali ni kutoka kwenye Mali
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ist tsh mil9.5
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba ina vyumba 3 self IPO ndani ya fance na ukubwa wa Eneo ni 1200sqm Bei yake 300ml Kwa Maelezo zaidi tuwadiliane kwa 0756060183
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Laptop: Lenovo ideapad S510p Processor: Core i3 1.70Ghz Ram: 4GB Storage 500GB Price: Tsh 500,000/= Used in 2 months Call/whatsapp: +255718819347 kwa maelewano
0 Reactions
1 Replies
953 Views
Jamani Naitaji Toyota Carina Ti ambayo ipo kwenye hali mzuri bajet yangu ni million 4...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Zimebaki mbili z3x.na Volcano box full chinas
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Au lipia 5milion unipe na gari moja kati ya haya (raum, ist, wish, gx110) Gari ni Prado Automatic Turbo, Diesel 85,000km, Bei sh milion 16, ukiinunua Unaichukua haidaiwi Haina tatizo lolote njoo...
2 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom