HUAWEI Y 530 VS TECHNO BOOM J5

HUAWEI Y 530 VS TECHNO BOOM J5

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,538
Reaction score
14,230
Mwennye uelewa juu ya ubora wa simu hizo, napenda kufaham ipi ni bora zaidi?
 
Huawei Y 530, Ndiyo ninayoitumia currently, naona iko powa
 
Huaweii ni noma sana Mimi ni mwaka wa tatu toka niinunue na niliwahi iangusha kwenye maji kwa muda wa dakika 20 nikiitafuta!!! Nikaikuta nikajua hapa sina simu nilichokofanya nilitoa laini na betri nikaiwe juani kwa muda wa dakika 40 tu ...nikaiwasha nikaona IPO fresh nikasema Hanna haja ya kununua cm nyingine mpaka Leo natumia huawei y530
 
Hata mm nimeinunua juzi ila inanipa shida kuitumia sababu ya ugeni harafu inatumia laini moja tu ya tigo ambayo iko hovyo sana kwenye network
 
Back
Top Bottom