Habarini wana Jamii, naomba kufahamishwa sehemu au kiwanda kinachotengeneza vifungashio kwa ajili ya unga wa mahindi, dona,sembe muhogo etc. pamoja na bei zake.
asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.