antiwela Member Aug 8, 2013 15 4 Apr 25, 2016 #1 Salaaam!! Natafuta mteja /wateja wa kununua mahindi. Nina gunia 200 kwa sasa bei Tsh 65000 kwa kila gunia..
Salaaam!! Natafuta mteja /wateja wa kununua mahindi. Nina gunia 200 kwa sasa bei Tsh 65000 kwa kila gunia..
R Rubo Senior Member Jan 21, 2015 138 66 Jul 2, 2016 #2 Yapo mkoa gani? Hizo gunia zinakua na kilo ngapi?