Njia rahisi ya Kupata Driving License au Passport

Njia rahisi ya Kupata Driving License au Passport

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
Wakuu Najua wengi watashangaa uzi wangu ila in short nina shida sana na naomba mwenye msaada hapa In short nimepoteza Indentification cards zangu zote leo na kwa sasa sina kitambulisho chochote kabisa zaidi ninayo tu BirthCertificate ambayo haiwezi saidia kitu.

Sasa Hivi vitambulisho vimekwamisha shughuli zangu zote na ninataka kwenda kupokea hela fulani MoneyGram wananiomba vitambulisho kama hivi, DHL kuna mzigo wangu nimetumiwa waliponiletea migo leo jioni ninapoishi mwenye pikipiki kaniomba kitambulisho sina, mzigo kaurudisha na walau ningekuwa na kadi ya mpiga kura afadhali na nahisi siwezi kuipata kwa sasa au kwa hiki kipindi.

Wakuu kwa anayemfahamu mtu ambaye atanisaidia kupata hivi vitu fasta, mimi hapa DSM ni mgeni na sifahamiani na watu wengi najua wengi wana marefa wao hapa basi naomba ni-LINK either Driving License au Passport N:B ninayo TAX Identification number tayari hope kupata D.Licence haitakuwa na mlolongo mrefu kivile.

Contacts zangu: JF PM

Ntakupoza iwapo utanisaidia kwa njia yoyote kuvipata hivi au kwa mwana JF anayemfahamu mtu ambaye atanisaidia PLZ ni PM namba za huyo mtu
MCHANGO WAKO NA MSAADA WAKO NI MUHIMU HAPA
 
Wakuu Najua wengi watashangaa uzi wangu ila in short nina shida sana na naomba mwenye msaada hapa In short nimepoteza Indentification cards zangu zote leo na kwa sasa sina Kitambulisho chochote kabisa zaidi ninayo tu BirthCertificate ambayo haiwezi saidia kitu Sasa Hivi vitambulisho vimekwamisha shughuli zangu zote na ninataka kwenda kupokea hela fulani MoneyGram wananiomba vitambulisho kama hivi,DHL kuna mzigo wangu nimetumiwa waliponiletea migo leo jioni ninapoishi mwenye Pikipiki kaniomba kitambulisho sina,mzigo kaurudisha na walau ningekuwa na Kadi ya mpiga kura afadhali na nahisi siwezi kuipata kwa sasa au kwa hiki kipindi Wakuu kwa anayemfahamu mtu ambaye atanisaidia kupata hivi vitu fasta mm Hapa DSM ni mgeni na sifahamiani na watu wengi najua wengi wana marefa wao hapa basi naomba ni-LINK either Driving License au Passport N:B ninayo TAX Identification number tayari hope kupata D.Licence haitakuwa na mlolongo mrefu kivile Contacts zangu: JF PM au 0657209956 Ntakupoza iwapo utanisaidia kwa njia yoyote kuvipata hivi au kwa mwana JF anayemfahamu mtu ambaye atanisaidia PLZ ni PM namba za huyo mtu
MCHANGO WAKO NA MSAADA WAKO NI MUHIMU HAPA
Kwenye driving licence lazima uanzie kituo cha police wakuandikie loss report ndio ukapate mpya.Ila kwenye hati ya kusafiria kidogo mzunguko wake hadi upate nyingine ni mrefu, kwanza lazima nayo uanzie polisi wakuandikie loss report tena kwa mahojiano ya kina sana then lazima itangazwe gazetini.Kitambulisho unachoweza kupata kwa muda mfupi ni hiyo driving licence kwanza.
 
Hapana kilichopotea ni DL na Voters card
Hiyo nime generilize tu

Isitoshe hapo mm nataka kuanza kama fresher maana mlolongo wa polisi siuewez kabisa ndo maana namtafuta mtu wa kuniunganisha nikapata hivi vitu fasta na kwa dili tu

Maana kuna cku nilipoteza ATM card nikaenda pale oysterbay polise yalikuwa majanga matupu siku ya kwanza wamenizingua siku ya pili nikafanikiwa lkn time lost ni kubwa sana

Sasa hapa kama kuna mtu anafanya uhamiaji ani PM tuone napata je hii passport faster kama kitambulisha cha kusawazisha mishe zangu kipindi nafatilia vilivyopotea

Au kama kuna dili la kuchonga D.Licence mpya naomba msaada hapo wadau
 
ni pm nikufanyie mpango wa passport kwa laki3 km upo tayari
 
mkuu driving licence ukienda kureport loss report ukaipata mapema by saa nne unaenda zako TRA fasta na 120k na ukiwahi jioni unachukua leseni yako ila the latest inakuwa kesho yake
 
Mm wana JF walishanifanyia mishe kitambo japo sikuleta feedback...
Bora uweke hadi namba ya simu kama upo serious
 
Wakuu namimi nahtaji driving license,i know how to drive,nawaza mizunguko ili niipate,mara veta,cheti cha macho,trafiki n.k,je naweza pata,nipo makambako-iringa
 
:smile-big:Chini ya jua kila kitu kinawezekana isipokuwa kuzuia mauti tu isimfike kiumbe hai
 
Wakuu namimi nahtaji driving license,i know how to drive,nawaza mizunguko ili niipate,mara veta,cheti cha macho,trafiki n.k,je naweza pata,nipo makambako-iringa

kama upo serious weka namba ya simu maana na mm nilipata D.Licence within 2days bila kuhustle hata kidogo
 
Wakuu namimi nahtaji driving license,i know how to drive,nawaza mizunguko ili niipate,mara veta,cheti cha macho,trafiki n.k,je naweza pata,nipo makambako-iringa

Mpunga wako tu. Hakuna kisichowezekana bongo hii.
 
Aiseeh na mie nahitaji leseni,tafadhari anayejua jinsi ya kupatikana fasta anijuze
 
Jamani leseni inadai bei gani kwani, kwa sie tusiotaka kupitia vile vigari scrapper vya driving school?
 
Back
Top Bottom