Kubadilishana

MwanawaMUNGU41

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,036
737
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae,aje somanga kilwa nije kimanzichana au mkuranga mama yangu amepararize na uhamisho nimekosa niko tayari kukulipa gharama za kuhama!! Tafadhali nisaidie malipo yataongezeka kulingana na umbali!!idara msingi!!
 
Back
Top Bottom