dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,476
- 2,087
Habari wadau.
Nimepata deal ya kumtafutia Soko Mteja kwaajili ya bidhaa ya Tangawizi ambayo anatarajia kuivuna wakati wowote kuanzia Sasa na baada ya kupata ODA ya mnunuzi.
Utafiti wangu wa Haraka Haraka bei anayoitaka Mteja wangu huyu Kwa ninavyo ona Ipo Chini Sana.
Ingawa bado naaendelea kutafiti Ili nijue zaidi Lakini nimeanza kutamani na kuhisi Pengine kama unaweza kupata Soko la uhakika utatengeza Faida kubwa mno kupitia biashara hii, Hatahivyo, kujua zaidi Faida na hasara inayo weza kuambatana na biashara yenyewe ni jambo la msingi Sana na Ndio maana nikaona nilifikishe Hili kwenu wadau Kwa mjadala wa kujifunza Lakini nikitaka Wanunuzi makini
NGOJA NILE NAWE VINONO BASI.
Iko hivi, Tunatafuta mnunuzi wa jumla wa Tangawizi yenye umri wa miezi Sita.
Tunao mzigo wa Hadi TANI 15,
tunakufikishia Hadi Dar es salaam Kwa bei ya Tshs. 3000 Kwa Kilo.
Ukitoa ODA unapata mzigo Ndani ya siku 4
ZINGATIA:
Hatuuzi Chini ya Tani moja kwakuwa mzigo ni mkubwa.
Kama unahitaji au kama unae ambae anaweza kuhitaji Si mbaya ukimfikishia ujumbe huu.
Nipigie/WhatsApp : 0714591548
Asante.