mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Mahala: Biharamulo karibu na Kijiji cha Lusaunga.
Mitiines zina umri wa miaka miwili tayari ziko miche 1500
Ukubwa, Heka mbili
Bei:Mil4.5 maelewano yapo
ARDHI: Ina rutuba ya kutosha
Faida:
Ndani ya miaka michache ijayo utaweza kuvuna na kupata kipato wakati huohuo ardhi hiyo ya thamani inabaki kuwa yako kwa kilimo chochote upendacho.
PM kama uko interested.