Hawa kamongo waliopasuliwa na kukaushwa kama aliyepo pichani wasipoandaliwa katika mazingira safi na salama ni hatari sana kiafya. Kuna baadhi ya wavuvi wake wanapowapasua uwa wanawaweka chini na kutumia miguu yao kuwakanyagakanyaga ili waweze kutanuka vizuri na kuwaweka katika huo muonekano uliopo pichani. Sina nia ya kuharibu biashara ya mtu ila kuna wavuvi wenye tabia ya kufanya hivyo hasa kwa aina hiyo ya samaki.
Nyaka one ulichosema no kweli nalijua hilo mimi huwa nanunua wabichi napasua mwenyewe nakausha kwa jua ndio nasafirisha na ikitokea nimenunua mkavu nawajua vizuri kwa mwonekano tu takwambia huyu sio kwa kuwa mi mwenyewe nilisha wavua miaka ya 90 mvuvi hanidanganyi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.