Kiwanja kinauzwa, kimepimwa, kina hati kipo Salasala Dar es salaam.

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,800
6,294
Kiwanja kipo Salasala ya Mbuyuni, Kipo jirani na Kanisa la Gwajima, kimepimwa na kina Hati, Urefu ni 30 Upana 26, Umeme, Maji, Barabara na Miundombinu yote inapatikana, Kiwanja ni Tambalale, bei ni 15 Millions.

Mawasiliano: 0769 535559
Whatsapp: 0714 417641
 
Kiwanja kipo Salasala ya Mbuyuni, Kipo jirani na Kanisa la Gwajima, kimepimwa na kina Hati, Urefu ni 30 Upana 26, Umeme, Maji, Barabara na Miundombinu yote inapatikana, Kiwanja ni Tambalale, bei ni 15,000,000 Millions.

Mawasiliano: 0769 535559
Whatsapp: 0714 417641
Hiyo bei mbona umeweka kubwa sana??
Yaani Millions ziwe 15,000,000??????
 
Miguu 20 X 20 Chanika Mjini(Videte)
Karibu na Barabara.
1.7Km toka Pale Chanika Stand
0.6km toka Barabara ya Lami.

Bei: 5.5M

Umeme Maji Papo hapo.

Pamejengeka Sana.

0715-240140
 
Kiwanja kipo Salasala ya Mbuyuni, Kipo jirani na Kanisa la Gwajima, kimepimwa na kina Hati, Urefu ni 30 Upana 26, Umeme, Maji, Barabara na Miundombinu yote inapatikana, Kiwanja ni Tambalale, bei ni 15 Millions.

Mawasiliano: 0769 535559
Whatsapp: 0714 417641
Habari Wakuu! Baada ya Tangazo langu nilipokea simu nyingi Sana, wapo walotaka picha za kiwanja kujua mazingira yalivyo, wapo waliowaagiza ndugu zao kwenda kuangalia Na information mbalimbali wadau walizohitaji, but niseme tu KIWANJA KIMEUZWA JANA, Kuna mdau baada ya Tangazo juzi alikuja kukiona na Jana akakilipia! Asanteni kwa wote mlonipigia simu!
 
Baaaab Kubwa kwa kuleta Mrejesho hapa.
 
Habari Wakuu! Baada ya Tangazo langu nilipokea simu nyingi Sana, wapo walotaka picha za kiwanja kujua mazingira yalivyo, wapo waliowaagiza ndugu zao kwenda kuangalia Na information mbalimbali wadau walizohitaji, but niseme tu KIWANJA KIMEUZWA JANA, Kuna mdau baada ya Tangazo juzi alikuja kukiona na Jana akakilipia! Asanteni kwa wote mlonipigia simu!
Wewe muungwana sana. Big up
 
Wewe muungwana sana. Big up
Nashukuru mkuu! Si unajua watu wanavitaka Sana viwanja vilivyopimwa coz havina mgogoro! Kwa vile watu wengi walinipigia simu wengine mpaka Ulaya wakituma ndugu zao kuja kukiangalia, nikaona ntakua sitendi haki Kama nikikaa kimya bila kuwajulisha wadau waliokua interested!
 
Unofficial Surveyed plot at Kitunda Magole(Pamepimwa vizuri sana kienyeji), near Mwanagati.
Size 50Ft X 50Ft.

Bei ni 7m.

Umeme papo hapo huitaji nguzo. Maji yapo jirani mita hamsini, unafungiwa Mita na kulipia kila Mwezi unit moja sawa na 50 Ndoo, Tsh 2,000/-

Makazi mapya.

8.4Kms From Banana Aviation.
18.8Kms From City Centre(Clock Tower)

0715-240140
 
Nisaidie kiingereza nimekianzia form four,un fficial surveyed plot ndio ikoje

Na kweli. Hata kuiandika tu Imekutoa Jasho.

Kwani kinyume cha Official inakuwaje!?

Anyway. Nilimanisha kuwa, ni eneo ambalo limepimwa na Wataalam Kienyeji bila ya kukamilisha taratibu zote kama kusajili Mchoro kwenye Mamlaka husika.
 
Du si afadhali mimi niliyekosea spelling kuliko wewe mjinga unyepotosha eti kimepimwa kienyeji ...! HIZO ST ZIMEWAFUNDISHA KINGEREZA PEKEE!
Na kweli. Hata kuiandika tu Imekutoa Jasho.

Kwani kinyume cha Official inakuwaje!?

Anyway. Nilimanisha kuwa, ni eneo ambalo limepimwa na Wataalam Kienyeji bila ya kukamilisha taratibu zote kama kusajili Mchoro kwenye Mamlaka husika.
 
Kiwanja kipo Salasala ya Mbuyuni, Kipo jirani na Kanisa la Gwajima, kimepimwa na kina Hati, Urefu ni 30 Upana 26, Umeme, Maji, Barabara na Miundombinu yote inapatikana, Kiwanja ni Tambalale, bei ni 15 Millions.

Mawasiliano: 0769 535559
Whatsapp: 0714 417641
Mkuu umesema Uongo bana lile kanisa sa la Nabii Flora sio la Gwajima Gwajima yupo ubung
 
Jirani Na makazi ya Gwajima, by the way hiyo sio muhimu, wenye pesa huwa hawaangalii mistake ndogo Kama hizi! Ila makapuku ndo vitu wanavyohangaika navyo.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nashukuru mkuu! Si unajua watu wanavitaka Sana viwanja vilivyopimwa coz havina mgogoro! Kwa vile watu wengi walinipigia simu wengine mpaka Ulaya wakituma ndugu zao kuja kukiangalia, nikaona ntakua sitendi haki Kama nikikaa kimya bila kuwajulisha wadau waliokua interested!
Basi inatosha mkuu,duhh Mpaka Ulaya tena inahusu nini.
Ukisifiwa mara moja,sema asanteni tu kwa kupiga sim inatosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom