WATER PUMP INAHITAJIKA HARAKA

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Wadau mm naleta hoja mezani ya kuhitaji water pump ndogo ilivyo simple
Na bei isiwe kuwa sana na tena uwe ya petroleum na sio Diesel
Asanteni kuhusu shamba tayari nimepata wadau kupitia humu jamvini kwa hilo nimesha Leta mrejesho sasa kazi inaendelea.
 
hujaeleweka ..unahitaji kununua toka kwa mtu humu au unataka recommendation kuhusu pump nzuri?
 
umbali wa shamba toka kwenye chanzo cha maji,ukubwa wa shamba,na budget yako....
Vitasaidia kupata pump sahihi
 
Mbona unafungua uzi mara zaidi ya moja kuulizia kitu hicho hicho?

Nimekusoma kimoja, kuwa na uvumilivu na itakusaidia sana. Weka muda unaostahili kidogo kwako kusubiria majibu, au fatilia uzi mmoja uliofungua mwanzo. Sio madakika ukiona kimya unaanza hili au lile.
 
Back
Top Bottom