Heshima kwenu wanaJF, nahitaji madirisha 7 ya aluminum, 4 ukubwa ni futi 5x5 na 3 ni futi 4x5 yafitishwe kwenye nyumba iliyopo Kibaha. Uwezo wangu ni sh. 175,000/- kwa dirisha kila kitu mpaka...
Habari zenu wakubwa
natafuta ni sehemu gani wanakodisha mashamba kwa mwaka nataka nianze na kilimo cha vitunguuu maji na matikiti,na mpunga nataka nianze na kama heka tatu ivi..sijui ni sehemu...
Linatafutwa eneo la kufanyia biashara ya uoshaji wa magari.
Eneo hilo liwe Dar es salaam.
Maeneo ya Mbezi beach, kunduchi, Mabibo, Sinza, tegeta,
Sifa
Liwe ni eneo Ambalo lipo Karibu na barabara...
habari humu wana jf me nipo hapa kilosa mjini nafuta halotel mobile na ile ya mezani. naomba nijulishwe mahali zilipo hapa kilosa ili nikanunue. nipewee bei zake
Kama kichwa kinavyojieleza.
Nina laki 3 na nusu 350,000/= ninahitaji tv used 32 inches lg ama samsung led tv.
Pesa cash iko mkononi.
Address;
Mbagala, DaresSalaam
Habari
Wapendwa wote mlioko sehemu zisizo na umeme au ni Gharama kuvuta au Kwa tatizo lolote. Vodacom ikishirikiana na mkopa solar Tz Ltd inatoa umeme wa solar system ambayo ina taa maalumu 4 ina...
Habari wakuu kampuni ya one2onefocus limited inayohusika na ujenzi wa nyumba za garama nafuu kuanzia mil 32 tu . Pia inahusika na upimaji wa viwanja
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuleta maombi ya...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya...
Wadau wa kuuza simu kali kuanzia laki sita na kuendelea, nawashauri muanze kuingia mikataba ya mauziano kwa muda maalum na wateja ,
Namaanisha badala ya mtu kutoa cash badala yake anunue kwa mkopo...
Kina ukubwa wa hatua 25x25, Kipo kwenye makazi ya watu, miundo mbinu yote iko vizuri, umeme umefika, Bei ni Milioni nane (8,000,000/) na maongezi meeeeengi. Mimi ndo mmiliki nahitaji hela faster...
Kwa wanaohitaji maeneo Yoyote kigamboni Iwe kwa kampuni na mtu Binafsi kupangisha Au kununua, tafadhari wasiliana nasi madalali kwa simu namba 0718295182
Jukumu letu ni kukutafutia eneo...