Peter Issack
New Member
- Sep 6, 2015
- 1
- 1
Jamani hebu nisaidieni kufahamu bank inayotoa mikopo kwa masharti nafuu hasa kwa sisi wanafunzi tuliomaliza chuo tunaotaka kujiajiri.
Mkuu, hayo mambo yako unaonaje ukiwa unaandika jukwaa la siasa tu?Ana dhamana ya mke
Mi ni mtumishi mkuu, naomba unipe maelekezoIpo ila mpaka uwe mtumishi
Jaribu kuwatafuta watu wanaitwa BAYPORTMi ni mtumishi mkuu, naomba unipe maelekezo
nina dhamana ya kiwanjwa karibia nusu heka....nahitaji zaidi ya 20m....nitapata?Una dhamana gani?