gilbsonassan
Member
- Jul 2, 2015
- 56
- 9
Habari zenu wakubwa
natafuta ni sehemu gani wanakodisha mashamba kwa mwaka nataka nianze na kilimo cha vitunguuu maji na matikiti,na mpunga nataka nianze na kama heka tatu ivi..sijui ni sehemu gani wanakodisha na sehemu haya mazao yanaweza yateweza niingizia kipto nikiyapanda....na bajeti ya hela ni kiasi gan cha heka izo kiujumla hadi kuwalipa wapandaji....
wakubwa naombeni msaada wenu..karibuni