Nanunua tv used 32" kwa 350k cash

mkandumbwe

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
424
371
Kama kichwa kinavyojieleza.

Nina laki 3 na nusu 350,000/= ninahitaji tv used 32 inches lg ama samsung led tv.


Pesa cash iko mkononi.

Address;
Mbagala, DaresSalaam
 
Mbona umetangaza hela kubwa sana mkuu "kwa hiyo hela hapa arusha ni TV tatu kama unazohitaji" usitake kujua zinatoka wapi
 
Du! Hapa hapatoshi mkuu wacha niifate dukani mpyaaaaaaaaaaaaaa! isiyo na shaka yoyote.
 
Ok.. fanya mpango wa kurekebisha dau..
Hiyo hela ni mingi sana http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/9f62c678cf8372745bfc64c048a28610.jpg[/IMG I only paid 150000 was new"nabado nilishukwa masikio
[QUOTE="mkandumbwe, post: 19888705, member: 320082"]Subir nitakupa mrejesho....nina uhakika nitapata lg 32" kwa 350k hapahapa. Time will tell mkuu.[/QUOTE]
 
JUZI NMEENDEA StarX 420...32 baada yakuzunguka mji mzima na kukosa Tv yoyote 32 kwa Laki nne
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom