M-KOPA SOLAR Mkopo wa solar system hata uwe kijiji gani bora jua liwake tu. Tunakukopesha

Jackson Zeno

Member
Sep 24, 2014
48
17
Habari
Wapendwa wote mlioko sehemu zisizo na umeme au ni Gharama kuvuta au Kwa tatizo lolote. Vodacom ikishirikiana na mkopa solar Tz Ltd inatoa umeme wa solar system ambayo ina taa maalumu 4 ina radio ndogo na tochi, chaja ya vifaa na chaja ya simu maalumu. Mfumo huu una gharimu 634,000 lakini Kwa kukopa awali utatoa elfu 50 tu, na Gharama ya kukutumia ulipo kokote Tanzania. Alafu hela iliyo baki utailipa mwenyewe kidogo kidogo Kwa muda wa mwaka na miezi 4 wastani wa 1200 Kwa siku kupitia M-Pesa. Ni Mfumo unao weza kumnunulia na kumlipia mtu yyte sio lazima uwe nae karibu. Baada ya deni kuisha unatumia moja Kwa moja Bila malipo na Kwa tatizo lolote kampuni in Gharamia kokote ulipo. Ni Mfumo ambao unaweza kuhama nao wakati wowote, hatuhitaji wire ring uko tayari na kamili. Unaweza kuweka mwenyewe na maelekezo ya kulipia utapewa kila kitu. Tafadhali uliza uweze kumiliki Mfumo au kununilia wazazi na Ndugu. Call, text or whatsup 0762208190 AU Facebook Jackson Zeno
 
Nataka kwa keshi, sio mkopo, bei sh ngapi, serious...

351000
IMG_20150902_102746.jpg
 
Back
Top Bottom