Chambuso2017
Member
- Feb 14, 2017
- 50
- 22
Kina ukubwa wa 25x25, Kipo kwenye makazi ya watu, miundo mbinu yote iko vizuri, umeme umefika, Bei ni Milioni nane (8,000,000/) na maongezi meeeeengi. Mimi ndo mmiliki nahitaji hela faster. Lakini bado sijakikatia hati. Kwa bei za Madale ukikutana na dalali huwezi kupata ukubwa huo halafu eneo hilo kwa bei hii. Kama unahitaji ni PM.
Ndo mana nimesema kama unahitaji nitumie PM hatuwezi kufanya bargaining hapa mkuu.mkuu hebu weka picha za nyumba za majirani tuzione kwanza.pia mwisho wa bei ngapi?
Hatari sana......Na bado !!
Tutaelewa tu!
Tumeambiwa mpaka june atakayebaki dar yy mwanaume!!
Mm nacheki picha tu.