Smartwatch ambayo inaingiliana na simu yako. Unaweza ukapokea simu au kusoma msg kutumia hii smart watch. Niko na limited stock na minimum order ni 5 pcs.
Duka langu online nipo maeneo ya kibamba...
Pure hygiene, ni kampuni ya kitanzania, iko Dar es salaam, inatoa huduma za usafi Wa vyoo na mabafu ya kuogea(Bathing room),
Kwa kutumia chemicals za kusafishia vyoo za kisasa kabsa. Tunasafisha...
Tangazo la mitihani ya CIPS.
Chuo cha Ununuzi kinawatangazia graduates wote katika level mbalimbali usahili kwa watakaotaka kufanya mitihani ya CIPS mda wa kuleta maombi chuoni mpaka tarehe 10...
Kwa atakayehitaji asali mbichi ya nyuki wakubwa naomba tuwasiliane kwa 0682 322 929, nimevuna mwenyewe na haijachakachuliwa. Lita 20 ni 180,000/= unaletewa popote ulipo tanzania.
Tunachora Ramani za nyumba, pia tunatoa huduma bora za ujenzi wa nyumba (pamoja na plumbing and electrical services), huduma hizi zote hutolewa bei nafuu sana.
Contact
0718 412072...
Nyumba ya kupanga inahitajika isiyozidi laki mbili kwa mwezi..
Maeneo ya Tabata yote, segerea, majumba sita, ukonga, uwanja wa ndege, ilala..
Pia buguruni, ubungo external, changombe, temeke...
Heshima mbele!
kichwa cha habari chahusika, naamini huku JF kuwa wataalam wakutosha, natafuta software ambayo inaweza kunisaidia kutunza mahesabu ya biashara na kunipa taarifa ya mauzo kila siku...
Kwa mahitaji ya viwanja mashamba na ardhi za kukodi /kununua kwa ajili ya makazi kilimo parking za magari sheli na shule
Maeneo ya shiratunda, Sango, Pumwani, Kawawa, Miwaleni, Uchira, Njiapanda...
Mount Everest Ilala Hostel iliyopo Ilala, mtaa wa Lindi inapenda kukutangazia kuwa tuna nafasi za vyumba kwa ajili ya Hostel kwa wanafunzi wanaohitaji. Hostel ina huduam zifuatazo :
24 Hrs...
Manages sales, purchasing, hr, payroll, , assests, bank reconciliations, appraisals, multiple POS points, financial reports. The software can be customized to fit your business needs. Contact us...
Wakuu, Nissan civilian bus inauzwa. gari iko kwenye hali nzuri na iko barabarani. Bei ni Tsh.17, mazungumzo yapo, kwa mawasiliano piga 0657457971 au 0685247148 Ili uweze kuiona gari.
OFA YA PASAKA IMEANZA SASA.
HABARI NJEMA KWA WANAOHITAJI KUCHIMBIWA VISIMA VYA KARAVATI.
TUNACHIMBA KWA BEI NAFUU.
KWA WANAOHITAJI KWA MASHAMBANI TUNAWACHIMBIA MITA 65 KWA MILIONI 3.8.
KWA...
Kampuni Boss, nilinunua mwezi wa 10, used for 2 months, ukiwa maji dk 20 yanakuwa jiwe, ina milango miwili na sehemu ya kungandishia, ni froth free, ina warranty na fridge protector njoo, urefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.