Natafuta simu aina ya Halotel mobile na ya mezani

TLAWI AKONAAY

Senior Member
Sep 16, 2016
110
62
habari humu wana jf me nipo hapa kilosa mjini nafuta halotel mobile na ile ya mezani. naomba nijulishwe mahali zilipo hapa kilosa ili nikanunue. nipewee bei zake
 
habari humu wana jf me nipo hapa kilosa mjini nafuta halotel mobile na ile ya mezani. naomba nijulishwe mahali zilipo hapa kilosa ili nikanunue. nipewee bei zake
Ya mezan IPO unaweza weka laini yoyote hats halotel na ukaitumia kama modern kwa computer Ili upate internet
 
Back
Top Bottom