Nyumba, Viwanja na Mashamba Kigamboni

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Kwa wanaohitaji maeneo Yoyote kigamboni Iwe kwa kampuni na mtu Binafsi kupangisha Au kununua, tafadhari wasiliana nasi madalali kwa simu namba 0718295182

Jukumu letu ni kukutafutia eneo unalolipenda na kwa Muda muafaka
 
Bei Inanzia Elfu 60 hadi 20 kutokana na ubora na sifa ya vyumba mkuu
Sifa ni kama uwepo wa tiles,choo ndani jiko, fence gypsum na thamani huongezeka n.k
 
Bei Inanzia Elfu 60 hadi 20 kutokana na ubora na sifa ya vyumba mkuu
Sifa ni kama uwepo wa tiles,choo ndani jiko, fence gypsum na thamani huongezeka n.k
Chumba na sebule kwa laki kiwe sehemu nzuri choo kisiwe cha kushea na watu wengi na kama ipo ndani ya geti pia niambie
 
Kiwanja kigamboni kibada 30mx30m napata kwa bei gani na gharama zako ni kiasi gani?

NB: NAOMBA UNIJIBU HAPA HAPA
 
Chumba na sebule kwa laki kiwe sehemu nzuri choo kisiwe cha kushea na watu wengi na kama ipo ndani ya geti pia niambie
Mkuu unamaaniaha chumba na sebule choo ndani?
Kwa sasa sina ya laki moja
 
Back
Top Bottom