Manunuzi ya simu kwa mkataba maalum

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
4,340
4,066
Wadau wa kuuza simu kali kuanzia laki sita na kuendelea, nawashauri muanze kuingia mikataba ya mauziano kwa muda maalum na wateja ,
Namaanisha badala ya mtu kutoa cash badala yake anunue kwa mkopo wa mpaka miezi 12 hadi 24 kama ulaya wanavyofanya.
ikiwezekana ipitie hata kwa makampuni ya simu.
Hili litaimalisha soko la simu kali tanzania zinazofika Tsh 2m.
Itapunguza uhalifu wa kuibiana simu .kwani sio wote wanaonunua mikononi wanapenda ni tamaa na simu hazishikiki dukani.

Mtapata faida mara dufu kwani mtaweka kariba cha kimkopo kidogo sana.
Mtawapa wateja uhuru wa kubadili simu kirahisi badala ya kungoja pesa ya likizo au safari kubadili simu.
Nawashauri haya sababu
Mamlaka zote za huduma(maji,UMEME,JIJI,TRA,NSSF,PARKING, NA SASA 15% ya bodi ya mkopo) zimeanza kufuatilia madeni kwa wakati kwa wateja wake pesa imekuwa haishikiki.
Ni ushauri tu.
 
Hapa. Tanzania nani alipe mkopo? Utafilisika "asubuhi" sana!

Wadau wa kuuza simu kali kuanzia laki sita na kuendelea, nawashauri muanze kuingia mikataba ya mauziano kwa muda maalum na wateja
Kuna makampuni ya simu hapa nchini yana huu utaratibu.

Unapewa simu kwa makubaliano ya kulipa kidogo kidogo.

Fuatilia taratibu zake.
 
Wadau wa kuuza simu kali kuanzia laki sita na kuendelea, nawashauri muanze kuingia mikataba ya mauziano kwa muda maalum na wateja ,
Namaanisha badala ya mtu kutoa cash badala yake anunue kwa mkopo wa mpaka miezi 12 hadi 24 kama ulaya wanavyofanya.
ikiwezekana ipitie hata kwa makampuni ya simu.
Hili litaimalisha soko la simu kali tanzania zinazofika Tsh 2m.
Itapunguza uhalifu wa kuibiana simu .kwani sio wote wanaonunua mikononi wanapenda ni tamaa na simu hazishikiki dukani.

Mtapata faida mara dufu kwani mtaweka kariba cha kimkopo kidogo sana.
Mtawapa wateja uhuru wa kubadili simu kirahisi badala ya kungoja pesa ya likizo au safari kubadili simu.
Nawashauri haya sababu
Mamlaka zote za huduma(maji,UMEME,JIJI,TRA,NSSF,PARKING, NA SASA 15% ya bodi ya mkopo) zimeanza kufuatilia madeni kwa wakati kwa wateja wake pesa imekuwa haishikiki.
Ni ushauri tu.
Wazo zuri
 
Kuna makampuni ya simu hapa nchini yana huu utaratibu.

Unapewa simu kwa makubaliano ya kulipa kidogo kidogo.

Fuatilia taratibu zake.
ndugu yangu mwl RCT nataka nifanye na wewe biashara ya kuninulia simu online kupitia account yako na nitakutumiia link ya amazon through whatapp

najua utanielekeza namna ya kukutumia pesa
 
Back
Top Bottom