Muyagha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 234
- 201
Heshima kwenu wanaJF, nahitaji madirisha 7 ya aluminum, 4 ukubwa ni futi 5x5 na 3 ni futi 4x5 yafitishwe kwenye nyumba iliyopo Kibaha. Uwezo wangu ni sh. 175,000/- kwa dirisha kila kitu mpaka kufitisha. Kazi inahitajika iwe tayari kufikia tarehe 10/02/2017.