Chumba yenye choo cha ndani kwa mkoa wa Dar

Chumba yenye choo cha ndani kwa mkoa wa Dar

rajabmaengo

Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
9
Reaction score
2
Nahitaj chumba chumba chenye choo ndan kwa ndan kwa eneo la Dar....Mwenye kuuweza fahamu achukue udalali huu. mawasiliano namba 0716278289
 
kuna kagorofa ubungo external kina sebule na chumban ndo kuna choo ina jiko kwa nje 250,000 ubungo external ,,maji dawasco ,umem uhakikia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom