Nauza kiwanja kipo Mbezi Msakuzi.

Nauza kiwanja kipo Mbezi Msakuzi.

VIWANJA VYA MSAKUZI KUWENI WAANGALIFU MNUNUE VYENYE HATI HASA HIVYO VYA 20x20
 
1.Kiwanja kipo Mbezi ya Kimara mtaa wa Msakuzi.

2.Kipo umbali wa 4kms(approximation) kutoka Moro road.

3.Huduma mhimu kama barabara na umeme zinapatikana hadi kwenye kiwanja.

4.Ukubwa wa kiwanja ni mita 20*20(400sqms).(Hakina hati)

5.Bei ni Tsh8,000,000(8mil),maelewano yapo.

6.Mawasiliano 0656608136(piga,sms na Whatsapp).

Kwa maswali namba ya simu ipo tayari.
Pia karibu PM.
Asante
 
Mbezi naijua vizuri maeneo mengi ni ya hovyo tu
Yaani wewe acha tuu Mkuu sijui watu wanakupendea nini huko,kwanza maji yenyewe tuu yakutafuta kwa tochi,maisha aghali mabonde kibao wakati kuna sehemu nzuri sana za kuishi ardhi tamabarare,maji ya kumwaga,ardhi bei rahisi,hewa safi bila kusahau maisha nafuu.
 
1.Kiwanja kipo Mbezi ya Kimara mtaa wa Msakuzi.

2.Kipo umbali wa 4kms(approximation) kutoka Moro road.

3.Huduma mhimu kama barabara na umeme zinapatikana hadi kwenye kiwanja.

4.Ukubwa wa kiwanja ni mita 20*20(400sqms).(Hakina hati)

5.Bei ni Tsh8,000,000(8mil),maelewano yapo.

6.Mawasiliano 0656608136(piga,sms na Whatsapp).

Kwa maswali namba ya simu ipo tayari.
Pia karibu PM.
Chukua 5m mkuu
 
Yaani wewe acha tuu Mkuu sijui watu wanakupendea nini huko,kwanza maji yenyewe tuu yakutafuta kwa tochi,maisha aghali mabonde kibao wakati kuna sehemu nzuri sana za kuishi ardhi tamabarare,maji ya kumwaga,ardhi bei rahisi,hewa safi bila kusahau maisha nafuu.
Kama maeneo yapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom