MTOTO ALIYEPOTEA KAPATIKANA

Highlife

Member
Aug 11, 2013
50
7
MTOTO ALIYEPOTEA AMEPATIKANA MLANDIZI KIBAHA
JINA: MWANAIDI ADHULAH RAMADHANI,
UMRI: MIAKA 15
JINSI: KE
ANAKOTOKA: ANDENI TANGA KIJIJI CHA ANDENI BONDENI... ALIKO SASA : MLANDIZI KIBAHA
KWA:
NDUGU, JAMAA AU YEYOTE ANAYEMFAHAMU AWASILIANE NA USTAWI WA JAMII H/W KIBAHA KWA NAMBA HIZI: 0757 476181 AU 0715955577
NB: Naomba tushee taarifa hii kwa watu na makundi mbalimbali ya mitandao ya kijamii
Image may contain: 1 person
Image may contain: 1 person, standing
 

Attachments

  • 2017-02-24 10.06.28.jpg
    2017-02-24 10.06.28.jpg
    111.8 KB · Views: 35
Huna akili we, unawaza ujinga tu.hujui wazazi na ndugu zake wamehangaika kiasi gani, sio kila kitu ni lazima uchangie, fala ww
Lugha aliyotumia sio sahihi lakini vile vile haingii akilini binti wa miaka 15 apotee Handeni aje kuonekana Kibaha!!

Wasiishie kuamini kwamba alipotea... isije ikawa alitoroshwa na mafedhuli!
 
Lugha aliyotumia sio sahihi lakini vile vile haingii akilini binti wa miaka 15 apotee Handeni aje kuonekana Kibaha!!

Wasiishie kuamini kwamba alipotea... isije ikawa alitoroshwa na mafedhuli!
Binafsi naamini hivyo...ila nilidhani kugongwa ni tafsida rahisi na sahihi ya maana halisi..
 
ni mimi peke yangu ndiyo naona kichwa cha habari hakijakaa sawa au ni cha arusha ??
Nilivyosoma heading kitu cha kwanza ambacho kilinijia ni kwamba mleta mada hapo kabla alileta thread kuhusu kupotea kwa mtoto na sasa nikadhani ameleta mrejesho kwamba mtoto kapatikana!!!
 
Back
Top Bottom