Habari za kazi wakuu..
Nauliza kama kuna machine yoyote ndogo ambayo itanisaidia kufanya palizi shambani. Naona nguvu kazi imekuwa ndogo na kazi haziishi kwa wakati.
Kama kuna kifaa chohote...
Tunatafuta CREATIVE Fundi Nguo, kushona magauni ya Red Carpet Events and magauni harusi na ngua za kazi, uniforms na ningine. Tunahitaji FUNDI nzuri sana na experience kama miaka 6 au 7. Naomba...
Gari inauzwa ipo katika hali nzuri sana, imelipiwa vibali vyote na vitaisha July mwaka huu. Ina bima kubwa na haijawahi kupata ajali. Imefungwa alarm system na ina remote mbili, ina tairi la...
Habari zenu wakuu.
Kuna mashamba mawili yanauzwa KILAPULA,ni KM 20 kufika Tanga mjini.
(a) Eneo lina ukubwa wa hekari 5,lipo kandokando mwa barabara kuu/lami ya Tanga to Muheza
Lina ofa...
Habari JF,
Hii mashine inauzwa, ni mashine ya kutengenezea chakula cha pellet (pellet machine)
Inauwezo wa kutoa pellet ngumu,na inazalisha Tani 1 kwa saa.
Bei ni Milioni 10
Ninapatikana Binju...
Habari wadau,
Hii seti makochi na meza inauzwa Tsh 700,000/= tu
Zipo Tanga karibu na magereza maweni
Kwa anaehitaji anicheko kwenye no yangu
Mawasiliano yangu 0717423882
Habari zenu wana JF,
Kuna laptops kutoka China nimeziona Alibaba jumla ya mzigo ninaohitaji ni US $ 336, uzito ni 4.9 Kgs.
Kwa mwenye uwelewa au uzoefu anisaidie kunifahamisha makadirio ya...
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Morogoro rd kuanzia Ubungo Maji mpaka Kimara Mwisho maeneo hayo.
Vyumba Viwili na sebule, pamoja na jiko. Chumba kimoja kikiwa ni master itakuwa vizuri zaidi...
Habari zenu wakuu, kuna mtu anazo shilingi za zamani anauza
zipo sh 20, sh 5, senti 5, senti 20, senti 10, senti 50 na sh 1
Vp tunaweza kupata mtu anayehitaji?
Ni mpya haina shida yoyot ile nimeitu siku mbili tu ni portable unawez kuhama nayo popote pale
No horsepower 1.5 ubarid wake ni mkali sana pia ni automatic kuzima na kuwasha kutokana na ulivyo...
Habari zenu wana JF ,,Leo nimeona Bora Niwasambazie na nyie Offer hii Baada Ya Kuiweka na Kupatana.com ,,, sifa za Kiwanj
1.Kimezungukwa na Makazi Ya watu
2.Kina Hati miLiki
3.Kipo karibu na...
Kwa mara nyingine tena, napenda kuwataarifu wapenzi wa vitabu vya riwaya kuwa sasa Kitabu ca PESA ZAKO ZINANUKA kinapatikana kwa bei ya shilingi 10,000 tu. Unaweza kupata Posta mpya, mkabala na...
Mwalimu wa sekondari wa shule iliyopo manispaa ya Iringa anaomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu aliye Dar, hasa manispaa ya Ilala. Ikiwa ungependa kuhamia Iringa mjini please ni Pm kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.