Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

OFA YA PASAKA IMEANZA SASA. HABARI NJEMA KWA WANAOHITAJI KUCHIMBIWA VISIMA VYA KARAVATI. TUNACHIMBA KWA BEI NAFUU. KWA WANAOHITAJI KWA MASHAMBANI TUNAWACHIMBIA MITA 65 KWA MILIONI 3.8. KWA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
OFA YA PASAKA IMEANZA SASA. HABARI NJEMA KWA WANAOHITAJI KUCHIMBIWA VISIMA VYA KARAVATI. TUNACHIMBA KWA BEI NAFUU. KWA WANAOHITAJI KWA MASHAMBANI TUNAWACHIMBIA MITA 65 KWA MILIONI 3.8. KWA...
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Nauza laptops mpyaaa!Nipo ujipatie Bei ni 500000/ Zipo na begi yake na adapter.....yaani complète Aina zilizokuwepo ni acer,samsung Kwa mawasiliano zaidi piga sim 0715591141 nko dar Spécification...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanaJF, nahitaji madirisha 7 ya aluminum, 4 ukubwa ni futi 5x5 na 3 ni futi 4x5 yafitishwe kwenye nyumba iliyopo Kibaha. Uwezo wangu ni sh. 175,000/- kwa dirisha kila kitu mpaka...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wakubwa natafuta ni sehemu gani wanakodisha mashamba kwa mwaka nataka nianze na kilimo cha vitunguuu maji na matikiti,na mpunga nataka nianze na kama heka tatu ivi..sijui ni sehemu...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Linatafutwa eneo la kufanyia biashara ya uoshaji wa magari. Eneo hilo liwe Dar es salaam. Maeneo ya Mbezi beach, kunduchi, Mabibo, Sinza, tegeta, Sifa Liwe ni eneo Ambalo lipo Karibu na barabara...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Natafuta Tangawizi kavu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari humu wana jf me nipo hapa kilosa mjini nafuta halotel mobile na ile ya mezani. naomba nijulishwe mahali zilipo hapa kilosa ili nikanunue. nipewee bei zake
0 Reactions
6 Replies
912 Views
Kama kichwa kinavyojieleza. Nina laki 3 na nusu 350,000/= ninahitaji tv used 32 inches lg ama samsung led tv. Pesa cash iko mkononi. Address; Mbagala, DaresSalaam
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani hebu nisaidieni kufahamu bank inayotoa mikopo kwa masharti nafuu hasa kwa sisi wanafunzi tuliomaliza chuo tunaotaka kujiajiri.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari Wapendwa wote mlioko sehemu zisizo na umeme au ni Gharama kuvuta au Kwa tatizo lolote. Vodacom ikishirikiana na mkopa solar Tz Ltd inatoa umeme wa solar system ambayo ina taa maalumu 4 ina...
2 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari wakuu kampuni ya one2onefocus limited inayohusika na ujenzi wa nyumba za garama nafuu kuanzia mil 32 tu . Pia inahusika na upimaji wa viwanja Mambo ya kuzingatia kabla ya kuleta maombi ya...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Nakodisha projector aina ya Acer bei tsh 50,000/= kwa siku.Kwa mawasiliano piga simu namba 0714400422.Karibuni wote.
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Nahitaj chumba chumba chenye choo ndan kwa ndan kwa eneo la Dar....Mwenye kuuweza fahamu achukue udalali huu. mawasiliano namba 0716278289
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Naomba bei ya kioo cha nyuma cha toyota runx tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MTOTO ALIYEPOTEA AMEPATIKANA MLANDIZI KIBAHA JINA: MWANAIDI ADHULAH RAMADHANI, UMRI: MIAKA 15 JINSI: KE ANAKOTOKA: ANDENI TANGA KIJIJI CHA ANDENI BONDENI... ALIKO SASA : MLANDIZI KIBAHA KWA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Please kwa watu wa Dar nilikuwa nahitaji chumba na choo cha ndani(self) mwenye kufahamu tuwasiliane asimamie ya udalali.0716279299
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau wa kuuza simu kali kuanzia laki sita na kuendelea, nawashauri muanze kuingia mikataba ya mauziano kwa muda maalum na wateja , Namaanisha badala ya mtu kutoa cash badala yake anunue kwa mkopo...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom