Linatafutwa eneo kwa ajili ya car wash

Bkisandu

Member
Jun 15, 2013
37
16
Linatafutwa eneo la kufanyia biashara ya uoshaji wa magari.
Eneo hilo liwe Dar es salaam.

Maeneo ya Mbezi beach, kunduchi, Mabibo, Sinza, tegeta,

Sifa
Liwe ni eneo Ambalo lipo Karibu na barabara ya lami, kuwe na maji na umeme, iwe ni sehemu ambayo kuna uwezekano wa kuwa na traffic jam, pamoja na accessory business kama bar, hotel, restaurant, salon na barbershop.

Mawasiliano.
0756784485
0654681516
 
Back
Top Bottom