Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza kiwanja ukubwa 30*20 kibaha picha ya ndege kwa Mtopa 1km kutoka Morogoro road bei 4,000,000 mawasiliano 0623958755
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Ipo kigamboni kisiwani Metre 100 kutoka barabara ya lami. Inavyumba vitatu vya kulala, na masterbedroom Jiko,sitting room,na dinning. Km 4 kutoka ferry na km 2 kutoka darajani Ukubwa wa eneo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nyumba inauzwa ipo tegeta kwa ndevu barabarani kiwanja kinaukubwa wa futi 61 kwa futi 35 Nyumba inafaa kwa matumizi ya biaahara Being mil 350 ipo karibu na GdB house and social centre...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauzi samsung tablet E, imetumika Kwa miezi miwili , inauzwa Tsh 450,000 Inakuja Na cover Na accessories zake zote simu 0656 064808
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Iphone 5s for 400k Ios 10.2 Grey color Touch Id
0 Reactions
0 Replies
523 Views
Heshima kwenu wakuu Ninaomba msaada ninacreate PayPal account sasa nimekuwa napata tabu sana na hii zip code sielewi nijaze nini hapo kwenye zip code na kingine ni hizo state zinakuja suggestion...
0 Reactions
1 Replies
650 Views
Kampuni yetu inataka muuzaji anayeuza VIOO kwa bei ya jumla na tutafurahi kama tutapata maelekezo madogo kutoka kwake, tuko tayar kufanya kazi na huyo mtu,
0 Reactions
0 Replies
2K Views
oya mazee msaada jamani natafuta saiti ya kujifunza ufundi wa masofa eneo dsm
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Nahitaji HDD za ndani za desktop 2TB aina ya SATA 50 PCS brand yoyote niuzie kwa bei ya jumla. 0713558111 wassap only
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Wakuu habari zenu ninaanza kilimo cha umwagiliaji natafuta water pump kwaajili ya shughuli hii. Kama unayo uniuzie kwa bei nafuu njoo PM
0 Reactions
6 Replies
4K Views
nauza shamba heka 3 kila heka 8 mill lina kisima ni ww tu kuweka pump au kuchota kwa kutumia mikono 0621068486
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji shamba la kukodi ama kununua kabisa liwe na vyanzo vya maji
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Suzuki van for sale 4.8m pungufu unaongea Habari zenu wapendwa, nauza gari yangu aina ya suzuki every van tshs. 4,800,000/= pungufu unaongea. Mimi ndie mmiliki wa gari na wala sio dalali...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Eneo kubwa linauzwa hekari 1 lipo mabwe pande kilometa 5 kutoka bunju b stendi umeme unapatikana pamoja na maji kwa mawasiliano zaidi 0657227370
0 Reactions
0 Replies
552 Views
Kiwanja kinauzwa kipo bunju dar es salaam karibu na posto bella Ukubwa ni sqm 600 Kiwanja hiki ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba ya makazi Being mil 35 Kwa mawasiliano zaidi piga simu au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamii kama kuna mtu wa Dar Es Salaam mwenye Pub au min Bar yenye jiko ambaye ameshindwa kuiendesha kwa sababu mbali mbali na anahitaji kuikodisha/kuipangisha ikiwa na vitendea kazi vyote kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Plot size 900 sqm ina title deed. Kutoka ferry km 10. Bei tshs 40 mil maongezi yapo.... Kwa maelezo zaidi come in [emoji395] +255759510593
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Pata tshirt yako na mpenzi wako kwa sh 30000 zote mbili tupo tabata relini na mkoani tunatuma mzigo 0654193108
2 Reactions
5 Replies
9K Views
VALENTINES DAY TSHIRTS AVAILABLE BONYEZA LINK HIYO KUCHAGUA UNAYOPENDA Tishirt kwaajili ya siku ya wapendanao 1 karibu uweke order yako mapemaaaa!!!!sh 15000 moja mbili kwa 30000 pia kwa wanaotaka...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Back
Top Bottom