Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kibada mitaa ya kwa Hussen Mwinyi Size: mita 25x25 Price:8.5 11 km toka ferry ______________________________________ Mob/wtsp/sms:+255718295182 Call/sms:+255 753254562/+255 625 480 963...
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Wakuu habari Naomba kujuzwa location nzuri za kupiga picha za harusi kwa hapa dsm,ikiwezekana na price zake
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nauzaa simu mpyaa kwa bei nafuu Iphone 6 space grey 16gb price 750,000 Iphone 6 silver 16gb price 750,000 Iphone 6 gold 16 gb price 750,000 Iphone 6s gold 16gb price 750,000 Nichek kupitia...
0 Reactions
1 Replies
620 Views
Nauza simu mpya kabisa Toleo jipya Itel S31 unapewa vifaa vyake vyote vipo Bei 190000 maongez yapo Kwa mawasiliano no.0675636863 au 0762504906 Dsm.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Natafuta playstation 2 used iwe complite pad 2 na cable zote na iwe iliochakachuliwa yaani unaweza kuplay games na flash kwa downloaded games. Nitafute tufanye biashara 0625906899
0 Reactions
3 Replies
888 Views
HDD 500 GB,4GB RAM,Windows 7 professional,64 bit operating system na ina antivirus ya mwaka mmoja( kaspersky) imetumika miezi 2,iko katika hali nzuri sana. Ipo Mbeya,bei 450,000/ anayehitaji ani...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari wana jf naimani ni wazima Naomba niende kwenye mada yangu nina kiwanja nakiuza kwa alie tayari namba zangu 0764404279/0718172475 Kiwanja kipo majengo ya Tabora karibu na shule ya msingi...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Natafuta mpambaji mzuri wa maharusi hapa Dar, Si mbaya km nitajua na gharama zake pia
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Afrimec company group tunazid kua karibu yako.ambapo chini ya kampuni hii kuna huduma zifuatazo 1.Dr Msua :Ni dakitari wa afya ya binadamu pia ana shahada ya telemedicine na family medicine...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
inafaa kwa biashara yoyote inayohitaji meza kubwa iwe ya chips,,mgahawa,,duka,,,n.k... kwa mahitaji nicheki 0679043099
0 Reactions
0 Replies
4K Views
For all your Graphics Works; Flyers/Posters, Branding, Artworks and so much more @amdesignstz we are the solution. Contacts us on +255769278878 for business, we deliver worldwide!!! Our social...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%) 8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4) Jumla kuanzia pea 10 8*8 @65000 Kwa waliopo Dar derivery ipo, gharama ya usafiri juu ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
txt.0625499022
0 Reactions
3 Replies
632 Views
Napatikana Kibamba Dar, mbwa aliyeko kwenye picha anauzwa, ana miezi 8,ameshapata chanjo zote, call me/wasap 0713228915
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Natafuta coolbox inayoweza kutumia Umeme wa gari au solar.
0 Reactions
0 Replies
386 Views
Habar zenu wakuu Nauza simu tajwa hapo juu ipo vizuri sana na haina tatizo lolote Simu nikama mpya BEI 130000 Nipo DAR ES SALAAM MAWASILIANO NAMBA 0656899091
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari za weekend ndugu, Naomba kufahamu bei na aina za mashine ya kufyatulia tofali za umeme kwa wenye kujua. Natanguliza shukrani zangu za pekee.
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Aina-Von point Uwezo mkubwa wa kuhifadhi vitu kwa muDa mrefu Urefu;METRE 2 KASORO Mahala-Mwanza Simu; 0625795163
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya shamrashamra za sherehe za Muungano hapo jana, leo tena ni siku nyingine maridhawa nzuri ya kuendeleza gurudumu la kutufanya tuishi kwenye sayari ya dunia yenye kila nyenzo za kila...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ofa yangu elfu sitini,nakihitaji sana .mwenye nacho anipm.
0 Reactions
6 Replies
945 Views
Back
Top Bottom