Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
Mkataba wa upangaji ni wa muda mfupi kuanzia mwezi mmoja hadi mitatu endapo maelewano yatakuwapo. Nyumba iwe ya kisasa iliyo katika eneo zuri lenye kufikika kwa urahisi, iwe na umeme na maji, iwe na angalau vyumba vinne vya kulala, iwe fully furnished, msaidizi wa kazi za Ndani ambae atalipwa na mpangaji na mengine Muhimu.
Alie na nyumba yenye sifa hizo aje PM.
Alie na nyumba yenye sifa hizo aje PM.