Pikipiki inauzwa bei rahisi kabisa karibuni

Llio 002

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,631
2,038
Habari wana jf,pikipiki aina ya San lg yenye umru wa mwaka mmoja lakini imetembea barabarani miezi saba tu na miezi mingine yote ilikuwa imekaa ndani bila ya matumizi
Bei ni shillingi Millioni moja kamili bila senti ( 1,000,000/=) pikipiki ipo Gongo la mboto
Mawasiliano 0625576082
Karibuni sana
7ba306cb91c72a4728527fe30e9fc79c.jpg
849575bfd0b1c789acad64f1cd79def3.jpg
 
Kila la kheri kwenye biashara yako mkuu.

Nakushauri uweke option mauziano yafanyikie polisi. (ni kutokana na tatizo la kikanda)
 
Kila la kheri kwenye biashara yako mkuu.

Nakushauri uweke option mauziano yafanyikie polisi. (ni kutokana na tatizo la kikanda)
Haina tatizo mkuu ila kila kitu kipo aiseee
 
Kila la kheri kwenye biashara yako mkuu.

Nakushauri uweke option mauziano yafanyikie polisi. (ni kutokana na tatizo la kikanda)
Mwenzako anamaanisha zinatumiwa sana kwa matukio ya ajabu, ndio maana anakushauri ufanyie polisi,
 
Mwenzako anamaanisha zinatumiwa sana kwa matukio ya ajabu, ndio maana anakushauri ufanyie polisi,
Ni kweli kuna jamaa yangu mmoja alinunua kumbe imefanya tukio huko mbagala akainunua Kimara.jamaa akadakwa pona pona jamaa yupo nje huru Pikpik mpaka kesho IPO polis
 
Back
Top Bottom