Nauza nguo za mtumba grade one
Za kiofisi na casual
Karibuni sana
Duka liko Arusha, philips highway bar
Mikoani tunatuma
0762998333
Instagram :divine_clothing_store _
Nguo za kike zote
Za kiume...
Sallam..wanajamvi nna deal motomoto mwenye uhitaji wa chumba master ipo maeneo ya kisasa Dodoma mjini ipo ndani ya fence na ina tiles ..gypsum na madirisha alluminium maji na umeme uhakika...
Pata dagaa fresh waliokaangwa kutoka mwanza wa kawaida na wale wa viungo
Tunapatikana mwanza mikoani tunatuma
Kwa maelezo na kutoa oda 0759292980
Maandalizi ya ukaangaji
Habari, anatafutwa agent wa ununuzi & usambazaji wa unga wa sembe hapa Dar, kwa yeyote alie tayari ani PM, agent atakua anatoa order yake analetewa mpaka store kwake. Unga wetu ni wa ubora wa hali...
Tunanunua mayai ya kienyeji kwa wingi
*yawe yanakiini cha njano yaani kuku wawe wanalishwa mbogmboga kwa wingi
*mayai yasiyozidi siku nne toka yametagwa.
call/sms/whatsap 0659767196
Full vibali
Full ac
Engine mpya haina tatizo
Haigongi chini
DVD/Bluetooth Music
Luxury seats
Perfect in every way
Bei 6.5 million
Kwa maongezi zaidi
0716398757
Sio wengine ni GEMAB(GMB)group wanakujia na huduma majumbani mwenu KUSUKA MITINDO YOTE, kukufanyia usafi nyumbani kwako, je wewe ni muhanga wa wafanyakazi wa ndani GEMAB GROUP ndio suruhisho la...
Kama inavyosomeka nina hiyo hela iko tayari kwenye mfuko wa shati natafuta laptop aina yeyote lakini iwe angalau na sifa hizi ;battery capacity not less than 3hrs,RAM not less than 2GB processor...
Wakuu,
Habari ya kazi. Naomba kujua wapi napata soko la uhakika la pembe za ng'ombe? Aliye na contacts naomba anipatie.
Natanguliza shukrani zangu za dhati
Tougher
Wakuu,
Ni geto nimeishi wiki mbili, lina kitanda kipya, godoro dodoma jipya nchi 6, 5 by 6, kiti na meza na vifaa vya toilet, geto pia kama unataka uhamie lipo Songea town kabisa barabara kama...
Ukihitaji perfume ya kike au ya kiume original kutoka Sweden (Oriflame) karibu hapa.. Nitakuuzia kwa punguzo la bei kwa 30% ndani tarehe 29/4/2017 mpaka tarehe 1/5/2017.
Ukihitaji bidhaa hizi...
Habari kwa wale woote ambao walihitaji miche ya michungwa aina ya galatia nilioieleza katika thread ya hapo nyuma ila kwa bahati mbaya walikosa tunapenda kuwataarifu kua kwa sasa ipo miche ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.