J627204 JF-Expert Member Feb 18, 2014 268 99 May 20, 2017 #1 Ni Gari iliyokamilika viwango vyote ni Nissan caravan kwa ajili ya abiria/wanafunzi/kukoishwa kwa maongezi zaidi karibuni pm au hapa kwenye jukwaa. Nawasilisha!
Ni Gari iliyokamilika viwango vyote ni Nissan caravan kwa ajili ya abiria/wanafunzi/kukoishwa kwa maongezi zaidi karibuni pm au hapa kwenye jukwaa. Nawasilisha!
chakii JF-Expert Member Sep 15, 2013 20,404 24,990 May 20, 2017 #2 Toa sifa za gari yako. PM siyo salama sana...