Muda mfupi unaanzia na kuishia wapi???Natafuta pikipiki aina ya BOXER BM 150 iliyotumika muda mfupi na iwe haijaguswa injini kwa bei ya MILION MOJA. 1M. nitafute kwa 0686958013.
Imetembeshwa siku chache Ila masafa marefu....ndio maana nmekutajia km.....Muda mfupi unaanzia na kuishia wapi???
Nitafute tuyajenge mkuu. Mzigo niko nao huo.Natafuta pikipiki aina ya BOXER BM 150 iliyotumika muda mfupi na iwe haijaguswa injini kwa bei ya MILION MOJA. 1M. nitafute kwa 0686958013.