Nauza samsung Smart tv 32 inc kwa laki 600,000 mpyaa

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ukihitaji nitafte kwa 0759741303. Bei ni fixed.


8628a0f9d55a0c3b64faa25ae76b5993.jpg
 
Inadhani Ulimwengu huu kuna Mtu hawezi kujua haƴo unaƴoƴasema...LED na SmART?ahhahahaahahh....
Hujui. Ndyo maana hata bei zake hufahamu. Kama smart tv 32inch ni laki 500000 dukani, je LEd tv 32 itakuwa bei gani?.
 
siku hizi tv hatutaki tena mkuu,tumezirudia laptop habari mubashara zote zipo JF...tv peleka vijijini,afu hiyo tv na hiyo bei ni wizi,saiv ni laki 5,tena ukiwa na 450 nakulengesha chimbo,ila kama upo dar...
 
Inaweza ikawa sawa au sio sawa
Usipende kufanya assumption mkuu. Original Smart tv za samsung zote zinakuja na optical audio outlet ambayo bei yake haishuki 700k. Na zinakuwa manufactured Egipty kwa nyingi zinazouzwa africa. .

Sokoni zimejaa za kichna na kuzigundua hazina optical audio outlets.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom