mkwawa complex
Senior Member
- Dec 15, 2016
- 183
- 150
Ninazo ekari 8 umbali toka barabara ya Lami(Bagamoyo-Msata) ni KM 3. Shamba linafaa kwa kilimo cha mahindi na maharage pia zipo ekari 4 kwa pamoja umbali toka lami(Bagamoyo-Msata) ni kms 2. Kila ekari ni mil 1.
Mawasiliano 0784 26 98 05
Mawasiliano 0784 26 98 05