2014 Toyota landcruiser prado

MAGARI7

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
2,401
1,303
c6a7ed43b31d8ba0554ef9b27c2242c1.jpg
b25ad4b13130511b5b613c19aba29621.jpg
233c5641950668760b5fc91658f6b6a4.jpg

Make : Toyota

Model : L/Prado

Mileage :25,037 km

Engine size: 3,950cc

Gasoline : Petrol

Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. )

Transmission : Automatic

M/Year : 2014

Doors : 5

Seats : 7

FEATURES :

Air Conditioner
Power steering
Power Windows
Alloy wheels
Leather seats
CD player
Sunroof
Airbag
Radio
Dvd
ABS
Tv

Bei Tshs 118,000,000

imejumuisha :

Ushuru Marine insurance

registration Bima ya barabarani

Karibu
 
hebu tuletee Magari Mazito mazito kama GMC, Ford, Au VX .... hizi prado mimi sina mapenzi nazo sana. weka na bei nzuri then tutaongea pembeni TUYAJENGE.
 
mzee shwari?
kuna kampuni yoyote inakopesha magari hapa bongo? kama ipo kwa interest gani na marejesho miaka mingapi?
 
We gudume kweli magari huyajui asee....hiyo prado generation ya 4 si ya kitoto
 
acha nipite pembeni kwa kiwango changu sijafika huko.

hiyoo gar nzur sana Lx na hiyoo nazitamani sana.
Maisha ni hatua kaka/dada,

Mshukuru Mungu kwa hapo ulipo.

Waliopo kwenye kiwango hicho cha prado, hawakuanzia hapo.

Bali walianza chini kabisa, Mungu akawainua kuwaweka hapo.

Kwahio, haina haja ya kupita pembeni Mungu ni wa kwetu sote.

Kwake kila kitu kinawezekana.

Usife moyo, hata wewe unaweza!!

It is just a matter of time.
 
hebu tuletee Magari Mazito mazito kama GMC, Ford, Au VX .... hizi prado mimi sina mapenzi nazo sana. weka na bei nzuri then tutaongea pembeni TUYAJENGE.
Ahsante kwa maoni yako.

Nitafanya hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom