Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Mashamba yanauzwa yapo chanika mwanzo mgumu Kilomita Moja kutoka barabarani na barabara inafika mpaka kweny eneo... Shamba lina minazi michungwa miti ya mbao na maji yapo.. Shamba Eka Moja...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Canon lensi 70-300 mm Nyeusi Kwa dslr cameras Bei yake 250,000 0713088747
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Jamn mm sjui niambien
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Tunatoa huduma zifuatazo. 1. Preparation of concept note for academic researches. 2. Preparation of academic research proposals. 3. Preparation of research findings and report writing. • Data...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Jamani habar hapo inajieleza. Nina miaka 32 natafuta rafiki wa kike ili awe mchumba. Npm
0 Reactions
4 Replies
884 Views
Natafuta rain coats nzuri kwa watoto wenye umri wa miaka 3-10. Niko Dar
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Lina ukubwa Wa heka 50 Miti INA umri Wa miaka 2 Kila heka inauzwa laki 3 Lina uzwa kuanzia heka 10 na kuendelea Linapatikana ktk mkoa Wa NJOMBE ktk tarafa ya lupembe Kwa mawasiliano pigs...
0 Reactions
2 Replies
783 Views
Habari wakuu, Nipo katika mchakato wa kuanzisha biashara yangu ya kusaga na ku-pack unga wa mahindi, sembe na dona (Na baadaye kutumia pumba zangu kutengeneza animal feeds). Ningependa kutoka kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mahitaji yako ya shati na t-shirts kali check na sisi 0655261579 au 0745604403
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kichwa cha habari chajieleza hapo juu, naomba kwa mwana JF ambaye anauza fitness equipment used anichek tafadhar
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nafanya Setup ya Blog yako kukuwekea matangazo ya Facebook ili kujiongezea kibato kupitia BLOG YAKO Hakuna masharti mingi kama Adsense Lugha (Kiswahili kinaruhusiwa) Malipo (Unatumiwa Kwenye...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Nauza pikipiki boxer bm 150. Bei ni mil 1.7 maongezi yapo, iko katika hali nzuri ina miez 2 tangu kununuliwa na kufanya kazi, insurance mwaka mmoja had mwakani february. Karibu dm.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Magari Yote Hayajawahi Tembelewa Ndani Ya Ardhi Ya Tz Utapata Kwa Bei Ya kusafisha Yard Toka Bandar Unachukua gari ikiwa Imekamilika tayari kwa kuingia Road Wasiliana Nasi Sasa tukutumie list na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bidhaa ya kwanza(filamu yenye maudhui ya utalii kwa 100%) yenye lugha ya kiswahili ( siyo ya kutafsili) inatambulishwa sokoni ikiwa imerekodiwa na mzawa kutoka katika mbuga mbalimbali zilizopo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Shkamoon wakuu.....Recently nlikua nafikiria kujikita kidogo kwenye biashara ya kufuga kuku wa nyama hapa hapa Dar.....Naamin wapo watu humu JF ambao wanafanya hii kitu na pia wapo successful in...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hey wa jf, nani mawasiliano na kampuni za kichina zinazo uza sundar solar home system, vyombo vya usafiri kama pikipiki na mini hydro turbine! Nawasilisha[/IMG]
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Salam wakuu, Kama navojieleza kwenye heading , niko maeneo ya dar na ninahitaji atleast majogoo 4 na matetea 16 kwaajili ya kuanza ufugaji mdogo mdogo. Pia ningependa kufahamu bei na prons na cons...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Tunatoa huduma ya wound dressing kwa waliojifungua kwa oparesheni.(nyumbani kwako) ama kidonda cha aina yoyote . huduma inakufata ulipo kwa sasa huduma hii inapatikana mwanza pekee. kuhusu huduma...
0 Reactions
2 Replies
919 Views
Tunafanya service za mashine za kuangulishia vifaranga, pia Tunatengeneza mashine za kuangulishia vifaranga kwa bei nafuu kabisa na zenye ubora zaidi. Mashine hizi ni automatic ,manual . na za...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nafundisha kudizain viatu na kutengeneza bracelate na chen za shingo kwa elfu tano 5000. tuu.changamkia fursa ujiajir.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom